1- kuwafunza waislamu wapya waijue dini yao vizuri
2- kusahihisha baadhi ya mafhumu zisizi sahihi kuhusu Uislamu
3- Kuelezea na kufafanua uzuri wa Uislamu kwa wasiokua waislamu
4- kuwakumbusha na kuwaelimisha waislamu

5- kuwapa nafasi kwa maduati wanaotaka kuandika makala